Mkali wa Hip Hop with crazy flow, style 3 and Boom bye bye Emcee, Stopa Tha Rhymecca anategemea kudondosha mpini wake mpya baada ya Boom bye bye, Ngoma hiyo mpya inaitwa "New Flava" touches za mtayarishaji wa mapigo ya muziki Tanzania "Q The Don" kutoka ndani ya studio za Mo Records ya jijini Mwanza, Stay tayari kwa New Flava kutoka kwa Stopa Tha Rhymecca time yeyote mzigo hewani paaaaaah! Hapo Stopa yupo na mtoto wake anaeitwa "Jenel"...Babe gal.
May 6, 2012
"NEW FLAVA" KUTOKA KWA HONCHO STOPA (YOKOI) KUTOKA MUDA WOTE KUANZIA SASA.
Mkali wa Hip Hop with crazy flow, style 3 and Boom bye bye Emcee, Stopa Tha Rhymecca anategemea kudondosha mpini wake mpya baada ya Boom bye bye, Ngoma hiyo mpya inaitwa "New Flava" touches za mtayarishaji wa mapigo ya muziki Tanzania "Q The Don" kutoka ndani ya studio za Mo Records ya jijini Mwanza, Stay tayari kwa New Flava kutoka kwa Stopa Tha Rhymecca time yeyote mzigo hewani paaaaaah! Hapo Stopa yupo na mtoto wake anaeitwa "Jenel"...Babe gal.
May 2, 2012
PHOTOS: DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA DAR LIVE…!!
![]() |
| Mashabiki wakiwa na mzuka wakumpokea Raisi wa Wasafi Diamond |
![]() |
| Nyomi yakutosha katika viwanja vya dar Live Mbagala |
![]() |
| Diamond Akiwapa Burudani Mashabiki wake ..... |
![]() |
| Pamoja na mvua kunyesha, mzuka uko palepale. |
![]() |
| Diamond |
![]() |
| Diamond Platnum akiwa na Rubani wake wakielekea kwenye chopper. |
![]() |
| Diamond Akisali Kabla Myama Hajapaa Angani |
![]() |
| Akitoa saluti kabla ya kupasua anga. |
![]() |
| Huu ndio uwanja wa Dar Live Ukionekana Kwa Juu |
April 29, 2012
WARAKA WA “RAY” KUHUSIANA NA MAREHEMU “STEVEN KANUMBA”…!!
Gwaii - Kazaa Kamua
Here is a clip shot of Gwaii’s “Kazaa Kamua” from his Thymuzik EP.
The Official Music Video will be released in a few weeks from the
people to enjoy it. shortly after that he will be releasing his official
single from the upcoming album as well.
You can follow Gwaii on twitter @GwaiiThyword and also like him on facebook: http://www.facebook.com/gwaiimusic Gwaii’s EP is available on itunes, “Thymuzik” CDbaby and Amazon now!!
You can follow Gwaii on twitter @GwaiiThyword and also like him on facebook: http://www.facebook.com/gwaiimusic Gwaii’s EP is available on itunes, “Thymuzik” CDbaby and Amazon now!!
AACUSA - Proud To Be (Official Music Video HD)
African Artist Coalition USA (AACUSA)
was formed with two goals in mind – promoting and exposing African
arts and culture to the global/mainstream market, and creating a
central platform that would showcase the arts and culture. With that
vision in mind we created the PROUD TO BE project (P2B Project) to jump
start our efforts towards achieving these goals.
This project brings together African artists who live in the USA for a joint project that represents African pride – proud of who we are in spite of our struggles, celebrating our accomplishments and looking forward to the journey ahead. This will involve a group of like minded young people and those young in heart, that love who they are and are ready to share this with the world.
Though there many reasons that motivated us to give birth to AACUSA, including addressing and providing aid to social, political and economical struggles that African is experiencing, we hope to shine a light to our culture and welcome all to embrace it. We also intend close the generational gap or the disconnect that exists between the young generation and that of Africa’s decision makers for a brighter future for all. Together we can be the change that Africa desires and deserves.
aacusa.net
Directed By: Dallas, Henry, & John
Shot by: Dallas, Henry, & John
Artists: Proud 2B African.
Song: Co-written by John Mahundi, Webiro Wassira & Lambert Tibaigana

ROMA MKATOLIKI KUYAWEKA MAISHA YAKE YA MZIKI KWENYE DOCUMENTARY YAKE MPYA.
Roma
akiwa katika studio ya Tongwe Rec akiitengeneza DVD hiyo ambayo amesema
nimapema sana kusema itatoka lini ila haitochelewa kutoka na anaamini
watu wataipenda na italeta utofauti kidogo maana story iliyomo ndani ya
Documentary hiyo iko kitofauti na itamgusa kila mmoja.
April 23, 2012
April 20, 2012
April 19, 2012
April 15, 2012
WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARD WAPATIKA 2012
![]() |
| Hawa ndio washereheshaji wa shughuli nzima Kushoto ni Milard Ayo Na Mwana dafada Vanessa Mdee |
![]() |
| Mwakilishi wa kundi la Arusha Gold Akipokea Tuzo wimbo Bora wa Ragga |
![]() | ||||
| Baada ya Shughuli nzima kutia nanga Maojiano yaliendelea na waandishi mbali mbali wa Habari Ndani ya Ukumbi |
Diamond & Ommy Dimpoz
![]() | |||||
| Mchekeshaji Kutoka Kundi la Ze Comrdy Mpoki Akitambulisha moja ya kikundi |
1. WIMBO
BORA WA RAGGAE.
-ARUSHA
GOLD BY WARRIORS FROM EAST.
2. WIMBO
BORA WA DANCE HALL.
- MANENO
MANENO BY QUEEN DARLIN.
3. WIMBO
BORA WA ZOUK RHUMBA.
-
DUSHELELE BY ALI KIBA.
4.BORA
WENYE VIONJO VYA KIASILI.
- VIFUU
UTUNDU BY A.T-
5. WIMBO
BORA WA TAARABU.
- NANI
KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC ( AISHA MASHAUZI).
6. WIMBO
BORA WA KISWAHILI.
- DUNIA
DARAJA BY TWANGA PEPETA-
7. WIMBO
BORA WA AFRO POP.
- HAKUNAGA
BY SUMA LEE-
8. WIMBO
BORA WA R&B.
- NUMBER
ONE FAN BY BEN PAUL-
9. WIMBO
BORA WA HIP HOP.
-
MATHEMATICS BY ROMA-
10. MSANII
BORA ANAECHIPUKIA.
- OMMY
DIMPOZ (NAI NAI SINGER).
11. RAPA
BORA WA BAND.
- KALIJO
KITOKOLOLO-
12. MSANII
BORA WA HIP HOP.
- ROMA
MKATOLIKI-
13. WIMBO
BORA WA KUSHIRIKISHWA.
-
NAI NAI BY OMMY DIMPOZ FT. ALI KIBA-
14. WIMBO
BORA WA AFRIKA MASHARIKI.
-KIGEUGEU
BY JAGUAR-
15.
MTUMBWIZAJI BORA WA KIKE.
- KHADIJA
KOPA-
17. MTUNZI
BORA WA MWAKA.
- DIAMOND-
16.
MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME
- DIAMOND-
18.
MTAYARISHAJI BORA WA MAPIGO YA MUZIKI.
- MANEKE-
19. VIDEO
BORA YA MWAKA.
- MAWAZO
BY DIAMOND-
20. WIMBO
BORA WA MWAKA.
- HAKUNAGA
BY SUMA LEE-
21. HALL
OF FAME.
- TAASISI JKT-
22. HALL
OF FAME KWA MTU BINAFSI.
- KING KIKII-
23. HALL
OF FAME KWA MTU BINAFSI.
- DR. REMMY ONGALA-
24.
MWIMBAJI BORA WA KIKE.
- LADY JAY DEE-
25.
MWIMBAJI BORA WA KIUME.
- BARNABA-
Subscribe to:
Posts (Atom)