| Dj Nass Katika Mitambo Nikihakikisha kila kitu Kipo Fresh |
| Add caption |
| Mkuu Wa Shule ya Kaloloni rashid Munga akitoa Nasaha zake |
| Ilifika zamu ya wahitimu kuimba hawa kuimba na hapa walikuwa wakiimba na kucheza wimbo wao mzuri kabisa wakitumia beat ya Waka waka ilikuwa Poa hiyo |
| Mezaa Kuu |
| Ilifika Zamu ya Kusomewa Risala |
| Wahitimu wa kidato cha Nne wakisikiliza kwa makini kabisa kwa yale waliokuwa wakihusiwa. |
| Mkuu wa Shule ya sekondari kaloleni Rashid Munga Akitoa Nasaha zake kwa wanafunzi wanahitimu na kwa wale wanobaki shuleni. akigusia sana sana swala zima la nidhamu. |
| hawa hapa walikuwa wakichana Mistari yao walifunika mbaya kabisha |
| Hawa ni ndugu jamaa Na Marafiki waliohudhuria Katika Mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne katika shule ya sekondari Kaloleni - Arusha |
| Katika Mahafali hayo Kulikuwa Na Mitindo Mbalimbali ya mavazi ambao wahitimu hao waliyaanda na huyu hapa alianza na Vazi la Kanga Ilikuwa Poa Hiyo. |
| Huyu Hapa yeye Alikuja Na Mavazi Ya Gereji |
| Ahmed (Mpemba) |
| Huyu hapo Anaitwa Ahmed (Mpemba) - yeye alikuja na mavazi ya Kipemba alifunika vilivyo |
| Ilifika zamu ya wahitimu hawa kupokea gamba zao (Vyeti) |
| Mmoja wa wahitimu Akivishwa Taji Na Mama Yake Mzazi |
| Utaratibu wa Upokeaje Vyeti Uliendelea |
| Zawadi Pia hazikuwa Nyuma kutolewa |