December 5, 2011
SHOW YA EPIQ NATION - ARUSHA
| Maandalizi Ya Show Ya Epiq Nation Jukwaa Likitengenezwa Mida Ya Asubuhi |
| Mafundi Mitambo Wakiweka Mambo sawa Kabla ya show Kuanza |
| Dj AD A.K.A Mafuvu Akiwa Na Mafundi Mitambo |
| Maandalizi kabla ya Showa Ya Epiq Kuanza |
| Ilikuwa Ni Mapema kabisa Asubuhi Majira ya saa 2:30 watu Tayari walisha Ingia Uwanjani Kusubiria Show |
| DJ AD A.K.A Mafuvu Ndio Aliyehusika Mwanzo Mwisho Katika 1 & 2 Katika Mashine |
| CMB Prezzo Kutoka Kenya Akiwa Kwenye Stage Alipoteza ile Mbaya |
| JCB Mwenyeji Wa Showa Ya Epiq Akiwa Na The Nondo Chid Benz |
| Hawa Ni dancers Wa mwanamuziki toka Nchini kenya Prezzoo |
| Dancers Wa Prezoo Toka Kenya |
| Mtu Mzima Prezo Juu Ya Jukwaa Akifanya Mambo |
| Watu wakimshangilia Mwanmuziki ambae kwa sasa Anafanya vizuri Katika Anga ya Mziki ROMA MKATOLIKI |
| Kulikuwa na Nyomi ya Kutosha Ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika show Ya Epiq Nation |
| Msanii ROMA Akiwa Juu ya Jukwa |
![]() |
| Prezoo & Dogo Janja |
Baada ya Show Ilikuwa Ni Ku show Love na Camera ya Dj Nass Hapo Ni Prezzo & Dogo Janja na MC Wa prezooKushoro
![]() | ||
| Wasanii Kutoka Arusha Jambo Squad katika Ni Masani wa Kike Lady Fire |
Subscribe to:
Comments (Atom)









