| Hii ni Sehemu ya Dance Floor Inavyoonekana |
| Safiiiiiiiiiiiiiiii |
| Wazungu Nao Hawakuwa nyuma Kutoa Support Katika Uzinduzi huo |
| HK & DJ Majay |
| Yaaani Dah!! Ilikuwa safii Kwa Idara |
| Show Love ilihusika Ile Kinoma Nomaaaaa |
Watu wakiwa wapo full nnje kwaajili ya kushuhudia ufunguzi wa Maisha Club Mtwara
|
| Na Hivi Ndivyo Fataki Zilivyo Husika Ile kinoma nomaaa katika Ufunguzi Maisha Club Mtwara |
PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA