Watu wakiwa hawaamini kilichotokea
|
| Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu |
| Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili |
Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV
|
| Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini |
| H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba |
Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi
|
| Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi |
| Add caption |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DJ CHOKA