April 11, 2012
April 10, 2012
MOTO MKUBWA WATOKEA KATIKATI YA JIJI LA ARUSHA - MAJENGO ALMAARUFU CHINI YA MTI
| Umati wa Watu waliokuwa wakishuhudia Moto huo |
| Askari polisi walikuwepo Kuhakikisha Usalama Unapatikana Sehemu hiyo. |
| Moja Ya Duka Likiteketea kwa moto |
| Hawa ni vijana Walikuwa wakisaidia Kuzima Moto |
Moto Mkubwa Watokea Katikati ya Jiji La Arusha sehemu ya Majengo alimaarufu Chini Ya Mti Mchana wa leo
Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana mara moja. Moto huo
uliweza kuunguza Maduka Takribani 9 , Japokuwa gari la fire liliwahi katika
Eneo la tukio lakini halikuweza kufanikiwa kuuzima moto huo kwani gari hilo lilishiwa na Maji , na ndipo magari megine ya zima moto kuwasili na kuweza
kuuzima moto huo.
PICHA NA NASS (www.djnasi.blogspot.com)
April 7, 2012
KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Watu wakiwa hawaamini kilichotokea
|
| Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu |
| Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili |
Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV
|
| Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini |
| H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba |
Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi
|
| Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi |
| Add caption |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA DJ CHOKA
Subscribe to:
Posts (Atom)

