April 10, 2012

MOTO MKUBWA WATOKEA KATIKATI YA JIJI LA ARUSHA - MAJENGO ALMAARUFU CHINI YA MTI



















Umati wa Watu waliokuwa wakishuhudia Moto huo


Askari polisi walikuwepo Kuhakikisha Usalama Unapatikana Sehemu hiyo.


Moja Ya Duka Likiteketea kwa moto


Hawa ni vijana Walikuwa wakisaidia Kuzima Moto




Moto Mkubwa Watokea Katikati ya Jiji La Arusha sehemu ya  Majengo alimaarufu Chini Ya Mti  Mchana wa leo
Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana mara moja. Moto huo uliweza kuunguza Maduka Takribani 9 , Japokuwa gari la fire liliwahi katika Eneo la tukio lakini halikuweza kufanikiwa kuuzima moto huo kwani gari hilo lilishiwa na Maji , na ndipo magari megine ya zima moto kuwasili na kuweza kuuzima moto huo.


PICHA NA NASS (www.djnasi.blogspot.com) 

April 7, 2012

KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.

 Ni alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatcan. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi

Watu wakiwa hawaamini kilichotokea 




Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu

Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili 

Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV  



Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini


H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba

Steve Nyerere akiwasili nyumbani kwa marehemu akiwa kwenye majonzi mengi 


Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi

Add caption





PICHA ZOTE  KWA HISANI YA DJ CHOKA

April 5, 2012

MAHAKAMA YATENGUA USHINDI WA GODBLESS LEMA JIMBO LA ARUSHA MJINI

Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katikati  akihutubia umati wa wafuasi wa chama hicho waliokuwa wamefurika mahakamani  kusikiliza shauri la kupinga ubunge wake, ambapo mahakama imeutengua ikidai Lema alikiuka sheria za uchaguzi na kuamuru uchaguzi urudiwe.

Lema akiwatia moyo wafuasi wa chadema katika eneo la mahakama baada ya kupokea matokeo ya kutengua ubunge wake leo, huku akieleza kuwa hata kata rufaa ila anasubiri tume ya uchaguzi itangaze rasmi kuanza kwa uchaguzi katika jimbo la Arusha Mjini.

Askari polisi wakiwa eneo la mahakama wakiimarisha ulinzi muda mfupi baada ya mahakama kutengua ubunge wa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kutoka Chadema.

Polisi wakiimarisha ulinzi mahakamani hapo. 

PICHA NA NASS -DNB- ARUSHA

Professor Jay ft Marco Chali - Kamili Gado ( Official Video HD)


Bob Junior - Ni Chum {Official HD Video}


Chidi Benz ft Tinah - Kila Napokuona (New Video)

March 29, 2012

NEW TRACK: One The Incredible - Young Gifted and Black

One The Incredible - Young Gifted and Black

New Video Marya - Sishiki Simu (Official HD Video)

BONGO STAR LINK: Marya - Sishiki Simu (Official HD Video)

Darassa ft Mwasiti - Ukipenda huoni.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

Click Here  to Download Darassa ft Mwasiti - Ukipenda huoni.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

SHETTA AIPELEKA NIDANGANYE KWENYE KIDEO.

Rais wa Dastamina Shetta amesema kwa hivi sasa yupo katika mchakato wa kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nidanganye ambao amemshirikisha rafiki yake mkubwa Diamond. Shetta amesema siku si nyingi utengenezaji wa video hiyo utaanza na anawatafuta warembo wazuriiiiiiii ambao hawajawahi kuonekana kwenye video ya msanii yoyote hapa bongo.

NEW TRACK: JCB ft Lavosti - Kijiti

 Click Here To Download JCB ft Lavosti - Kijiti.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

NEW SONG FROM BONGO RECORDZ

MSAMIATI ft. Jux & Steve RnB - Nyingine.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

NEW TRACK: Chindo - MJESHI

Chindo - MJESHI.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

March 27, 2012

TOKA DAR MPAKA A TOWN NI STAMINA NA COUNTRY BOY KWA MARA NYINGINE TENA


Toka dar mpaka A-town,2nasaka pound"...ikiwa ndio outro ya dude jipya walorecord wakali toka kundi la "Watuchee" Stamina na Country boy pande za noizmekah arachuga,Pini litadrop anytime baada ya mixing na kutafutiwa jina, Kupitia facebook page zetu,mafans wa karibu wanakaribishwa kushauri juu ya jina litalofaa kwa ngoma hii after kuskiliza chorus yake inavyotambaa.