April 6, 2012
April 5, 2012
MAHAKAMA YATENGUA USHINDI WA GODBLESS LEMA JIMBO LA ARUSHA MJINI
| Askari polisi wakiwa eneo la mahakama wakiimarisha ulinzi muda mfupi baada ya mahakama kutengua ubunge wa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kutoka Chadema. |
| Polisi wakiimarisha ulinzi mahakamani hapo. |
March 29, 2012
SHETTA AIPELEKA NIDANGANYE KWENYE KIDEO.
March 27, 2012
TOKA DAR MPAKA A TOWN NI STAMINA NA COUNTRY BOY KWA MARA NYINGINE TENA
Toka dar mpaka A-town,2nasaka pound"...ikiwa ndio outro ya dude jipya walorecord wakali toka kundi la "Watuchee" Stamina na Country boy pande za noizmekah arachuga,Pini litadrop anytime baada ya mixing na kutafutiwa jina, Kupitia facebook page zetu,mafans wa karibu wanakaribishwa kushauri juu ya jina litalofaa kwa ngoma hii after kuskiliza chorus yake inavyotambaa.
March 26, 2012
March 23, 2012
CLUB MAISHA YAZINDULIWA KWA KISHINDO HAPA MTWARA USIKU HUU
| Hii ni Sehemu ya Dance Floor Inavyoonekana |
| Safiiiiiiiiiiiiiiii |
| Wazungu Nao Hawakuwa nyuma Kutoa Support Katika Uzinduzi huo |
| HK & DJ Majay |
| Yaaani Dah!! Ilikuwa safii Kwa Idara |
| Show Love ilihusika Ile Kinoma Nomaaaaa |
Watu wakiwa wapo full nnje kwaajili ya kushuhudia ufunguzi wa Maisha Club Mtwara
|
| Na Hivi Ndivyo Fataki Zilivyo Husika Ile kinoma nomaaa katika Ufunguzi Maisha Club Mtwara |
PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA
March 22, 2012
JOHN RODGERS KUPIGA SHOW HOLLAND TAREHE 7 APRIL 2012.
STOPA THE RHYMECCA APOTEZA HARD DISC YENYE MIXTAPE YAKE ILIYOKUA ITOKE KARIBUNI.
CLUB MAISHA MTWARA SASA IPO TAYARI KWA BURUDANI KWA WAKAZI WA MTWARA.
| Muonekano wa Nje Ya Club Maisha Mtwara |
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)
















