March 22, 2012
December 5, 2011
SHOW YA EPIQ NATION - ARUSHA
| Maandalizi Ya Show Ya Epiq Nation Jukwaa Likitengenezwa Mida Ya Asubuhi |
| Mafundi Mitambo Wakiweka Mambo sawa Kabla ya show Kuanza |
| Dj AD A.K.A Mafuvu Akiwa Na Mafundi Mitambo |
| Maandalizi kabla ya Showa Ya Epiq Kuanza |
| Ilikuwa Ni Mapema kabisa Asubuhi Majira ya saa 2:30 watu Tayari walisha Ingia Uwanjani Kusubiria Show |
| DJ AD A.K.A Mafuvu Ndio Aliyehusika Mwanzo Mwisho Katika 1 & 2 Katika Mashine |
| CMB Prezzo Kutoka Kenya Akiwa Kwenye Stage Alipoteza ile Mbaya |
| JCB Mwenyeji Wa Showa Ya Epiq Akiwa Na The Nondo Chid Benz |
| Hawa Ni dancers Wa mwanamuziki toka Nchini kenya Prezzoo |
| Dancers Wa Prezoo Toka Kenya |
| Mtu Mzima Prezo Juu Ya Jukwaa Akifanya Mambo |
| Watu wakimshangilia Mwanmuziki ambae kwa sasa Anafanya vizuri Katika Anga ya Mziki ROMA MKATOLIKI |
| Kulikuwa na Nyomi ya Kutosha Ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika show Ya Epiq Nation |
| Msanii ROMA Akiwa Juu ya Jukwa |
![]() |
| Prezoo & Dogo Janja |
Baada ya Show Ilikuwa Ni Ku show Love na Camera ya Dj Nass Hapo Ni Prezzo & Dogo Janja na MC Wa prezooKushoro
![]() | ||
| Wasanii Kutoka Arusha Jambo Squad katika Ni Masani wa Kike Lady Fire |
December 2, 2011
MR. EBBO AFARIKI DUNIA
Abel Rusheraa Motika, almaarufu – Mr Ebbo Enzi Za Uhai wake
Habari za uhakika zilizolifikia Blog Hii alfajiri ya leo zinaeleza kwa Mr. Ebbo alifariki kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa Mshtuko Wa Moyo kwa muda mrefu. Amefariki akiwa nyumbani kwa familia yake, maeneo ya Usa River, Arusha.
Mwanamuziki huyo alifahamika zaidi kwa nyimbo zake zenye lafudhi ya Kimasai, ikiwamo – Mi Mmasai Bwana, Kamongo na nyingine nyingi zilizoteka uwanja wa muziki.
Pia alikuwa miongoni mwa wanamuziki walioinukia kwa kufanya ‘kolabo’ na wanamuziki wengine, hasa wanaotoka Mkoa wa Tanga wakiwamo; Wagozi wa Kaya.
Mipango ya mazishi inafanywa na familia yake na huenda akapumzishwa katika mashamba ya familia yake yaliyoko Usa River Mkoani Arusha .
Blog Hii Inatoa pole kwa dunia ya mashabiki wa muziki, marafiki, watoto, ndugu jamaa na marafiki.
KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MALA PEMA PEPONI AMIN,
November 30, 2011
MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO KARATU MKOANI ARUSHA .
Baadhi ya magari yaliyokumbwa na mafuriko hayo.
![]() |
![]() |
| Lori la mizigo lenye namba T190 AKW lililokuwa limebeba mitambo ya kutengeneza barabara likitoka Engaruka kwenda Arusha likiwa limezama kwenye maji. |
Polisi walifika eneo la tukio na kufanya ukaguzi wa matukio hayo ya ajali.
![]() |
| Baadae polisi wakatoa idhini ya mwili wa Samweli kutolewa katika eneo ulipopatikana. |
Hivi ndivyo kipande hicho cha barabara kilivyomegwa na maji.
![]() |
| Wananchi wakishuhudia maafa yaliyosababishwa na mafuriko hayo. |
![]() |
| Mwili wa marehemu Samweli Julius ambaye alikuwa ni msaidizi wa mitambo ya kutengeza barabara, ukiwa umenasa juu ya mti. |
November 28, 2011
RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWATUNUKU VYEO WANAFUNZI MAOFISA JESHI -MONDULI
![]() |
| Katikati Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwetwe Kulia ni Mh. Raila Odinga |
![]() |
| Mh. Jakaya Mrisho Kikwete Akipita Mbele Akikagua Gwaride |
![]() |
| Vikosi vikipita mbele ya amirin jeshi mkuu |
Maofisa Wanafunzi 5o6
wa jeshi la wananchi waliokuwa wanachukuwa mafunzo ya muda mfupi ya
kijeshi wametunukiwa Kamishina na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa
Tanzania Amiri jeshi mkuu,Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete sherehe
zilizofanyikia katika chuo cha kijeshi cha Monduli kilichopo mkoani
Arusha
Katika sherehe hizo jumla ya wanafunzi maofisa 69 ni wanawake na wanaume walikuwa ni wanafunzi maofisa 447 na
katika wa maafisa hao walio waliopewa kamishana kuna maafisa wa fani
mbalimbali ikiwemo Wauguzi ,walimu ,wanasheria ,Wahasibu pamoja na
waandishi wa habari .
PICHA KWA HISANI YA www.woindeshizza.blogspot.com
November 26, 2011
November 25, 2011
November 24, 2011
TEGEYERES TOKA A TOWN

Mwanadada TigerEyes toka Arachuga anawaasa madem wote wanaofanya game wakaze buti mana yuko tight zaidi maelezo yani no mboyoyo hapa,"hakuna kulaza damu wala kusoundisha raia,niko serious sana na mziki chalaangu" asema nemy a.k.a TigerEyes mwanadafada anaye rap,kuimba na kudance katika crew la "NewKings" toka Arusha..."Noizmekah kwa dx ndo niliporekodia ngoma yangu hii ya "Grind on", beat ameunda producer Mosco ambae ameunda beat na vocal kasmamia bro dx mpaka ngoma kukamilika na kuwafikia wadau ma mashabiki zangu wote tanzania na dunia nzima,Sasa nakarbia kumaliza masomo ya chuo so nitakua full full hewani mithili ya noizmekah.com..Heshima tele ziende kwa Mungu kuniweka hai na my Mama kwa kunisuport katika muzik plus maproducer wangu kwa kuni guide na kunishauri...
Subscribe to:
Posts (Atom)






























