November 28, 2011

RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWATUNUKU VYEO WANAFUNZI MAOFISA JESHI -MONDULI

Katikati Ni Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwetwe Kulia ni Mh. Raila Odinga




Mh. Jakaya Mrisho Kikwete  Akipita Mbele Akikagua Gwaride

Vikosi vikipita mbele ya amirin jeshi mkuu
Maofisa Wanafunzi  5o6 wa jeshi la wananchi waliokuwa wanachukuwa mafunzo ya muda mfupi ya kijeshi wametunukiwa Kamishina na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Amiri jeshi mkuu,Muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete sherehe zilizofanyikia katika chuo cha kijeshi cha Monduli kilichopo mkoani Arusha

Katika sherehe hizo jumla ya wanafunzi maofisa 69 ni wanawake na wanaume walikuwa ni wanafunzi maofisa 447  na katika wa maafisa hao walio waliopewa kamishana kuna maafisa wa fani mbalimbali ikiwemo Wauguzi ,walimu ,wanasheria ,Wahasibu pamoja na waandishi wa habari .
PICHA KWA HISANI YA www.woindeshizza.blogspot.com

November 24, 2011

TEGEYERES TOKA A TOWN


Mwanadada TigerEyes toka Arachuga anawaasa madem wote wanaofanya game wakaze buti mana yuko tight zaidi maelezo yani no mboyoyo hapa,"hakuna kulaza damu wala kusoundisha raia,niko serious sana na mziki chalaangu" asema nemy a.k.a TigerEyes mwanadafada anaye rap,kuimba na kudance katika crew la "NewKings" toka Arusha..."Noizmekah kwa dx ndo niliporekodia ngoma yangu hii ya "Grind on", beat ameunda producer Mosco ambae ameunda beat na vocal kasmamia bro dx mpaka ngoma kukamilika na kuwafikia wadau ma mashabiki zangu wote tanzania na dunia nzima,Sasa nakarbia kumaliza masomo ya chuo so nitakua full full hewani mithili ya noizmekah.com..Heshima tele ziende kwa Mungu kuniweka hai na my Mama kwa kunisuport katika muzik plus maproducer wangu kwa kuni guide na kunishauri...

ATANAS FT JUX - TRUE LOVE [ ITS OK]

NEW VIDEO - STANBOI - ROUND AND ROUND [www.DarTalk.com]

November 21, 2011

WELOCOME FRESHERS NDANI YA CHUO CHA UHASIBU NJIRO - ARUSHA

Medy & Sam Waki show Love Namna hiyo

Mr. Blogger Nass Bm (Dj Nass) & Sam

Sam



Edna Miss IAA No.2 & Medy Waki show Love

Nass & Edna

Medy & ............ Ah!!!!


Ndani ya Mjengo Kulishona Raia Wakutosha waki being vilivyo

Palikuwa Hapatoshi Baaana Dah




Ndani ya nyuba alikuwemo Mtu Mzima Godzilla

Godzilla On the Stage


Raia wakimshangilia Godzilla wakati akipanda jukwaani


123... twendeeeeee ndiovyo alivyosikaika Godzilla akisema na
raia wake




Mdashost Alikuwa akihusika na kiduku ile mbaya kwenye Stage

Kiduku Mwanzo Mwisho

Mr. Dj Akifanya Akiwarusha vilivyo Ndani ya Mjengo

Kiduku



Mr. Dj


Palikwa Hapatoshi nyomi ya watu Kibao

Show love 2@ Other










walikuwemo Warembo Wakutosha tu Ndani ya Nyumba


Ah!!!..... Safiiiiii
Mshiki Ulihusika Pia Mambo Katika Mambo ya kuweka sawa
Tumbo..



PICHA ZOTE KWA HISANI KUBWA KABISA YA www.djnasi.blogspot.com