|
Umati wa Watu waliokuwa wakishuhudia Moto huo |
|
Askari polisi walikuwepo Kuhakikisha Usalama Unapatikana Sehemu hiyo. |
|
Moja Ya Duka Likiteketea kwa moto |
|
Hawa ni vijana Walikuwa wakisaidia Kuzima Moto |
|
|
|
|
Moto Mkubwa Watokea Katikati ya Jiji La Arusha sehemu ya Majengo alimaarufu Chini Ya Mti Mchana wa leo
Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana mara moja. Moto huo
uliweza kuunguza Maduka Takribani 9 , Japokuwa gari la fire liliwahi katika
Eneo la tukio lakini halikuweza kufanikiwa kuuzima moto huo kwani gari hilo lilishiwa na Maji , na ndipo magari megine ya zima moto kuwasili na kuweza
kuuzima moto huo.
PICHA NA NASS (www.djnasi.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment