ili wapime nani kubobea zaidi kwenye hiyo fani.
Mbishi 1 akasema:
Mi siku moja nilivyokuwa nje ya nchi nilimpigia SIMU usiku mke wangu. Akapokea simu hakusema haloo...

Kulaleki !!! na mimi nikakaa kimya sikuongea mpaka alfajiri wakati simu ilikuwa wazi.
Mbishi 2 akatia:
Mbona hiyo cha mtoto, mi siku moja nimerudi home nikagonga mlango mke wangu akaufungua lakini hakusema karibu mume wangu, aliniangalia tu. Nikaona analeta madharau !!!

Sikuingia ndani nikasimama hapo hapo mlangoni mpaka asubuhi...huyoo nikatimua zangu job.
Mbishi 3 akaunganisha:
Hiyo nayo mbona cha mtoto tu, mi mke wangu tulipooana alikuwa anaona
haya kunigusa...ananidengulia eti !!!

Na mimi sikumgusa na mpaka leo hatugusani.
Mbishi 1 na 2:
Aaaaaaaah FAZA acha usanii huo, nyie si mna watoto wawili ?

Mbishi 3:
Na hao watoto sijamuuliza kawaokota wapi... kwani mi nataka mchezo !!!.
Wazee nani anaweza kubishana na hawa jamaa?

No comments:
Post a Comment